Injili ya Yohana
Filamu 2:40:39
Mkusanyiko wa Injili
INJILI YA YOHANA ni toleo la kwanza kabisa kupigwa picha ya maandishi ya Biblia kama ilivyoandikwa hasa ikitumia simulizi ya asili ya Yesu kama mwongozo wake - neno kwa neno - filamu hii ya ajabu na kushangaza inatoa mwangaza mpya kwenye moja ya maandishi matakatifu zaidi ya historia. Imetengenezwa vizuri, iliyoigizwa vizuri sana, na kuelezea na utafiti wa karibuni wa kitheolojia, kihistoria, na akiolojia, filamu hii ni kitu cha kufaa kufurahiwa na kuthaminiwa. Picha na Mradi wa Lumo.
Haipatikani katika eneo lako.