Mkusanyiko wa Injili
系列 4 劇集
Marekebisho ya kwanza ya neno-kwa-neno ya injili kwa kutumia simulizi ya asili kama ilivyoandikwa - iinayojumuisha Injili za Mathayo, Marko, Luka, na Yohana - inatoa mwanga mpya katika historia ya maandiko matakatifu
- Acholi
- 阿爾巴尼亞語
- 阿姆哈拉語
- 阿拉伯語
- 阿塞拜疆語
- 孟加拉語(標准)
- 緬甸語
- 中文(繁體)
- Cebuano
- Chechen
- 齊切瓦語
- 中文(簡體)
- 克羅地亞語
- 捷克語
- 達里語
- 荷蘭語
- 英語
- 芬蘭語
- 法語
- 格魯吉亞語
- 德語
- 古吉拉特語
- 豪薩語
- 希伯來語
- 印地語
- 苗語
- 印尼語
- 意大利語
- 日語
- 卡納達語
- 卡拉卡爾帕克語
- 哈薩克語
- Kongo
- 韓語
- Kurdish (Kurmanji)
- Kurdish (Sorani)
- 吉爾吉斯語
- 拉脱维亚语
- 靈加拉語
- Luganda
- Lugbara (Lugbarati)
- 馬拉雅拉姆語
- 馬拉地語
- 尼泊爾語
- 挪威人
- 奧迪亞語
- 波斯語
- 波蘭語
- 葡萄牙文 (歐洲)
- 旁遮普語
- 羅馬尼亞語
- Runyankore Rukiga (Runyakitara)
- 俄語
- 塞爾維亞語
- 西班牙語 (拉丁美洲)
- 他加祿語
- 塔吉克語
- 泰米爾語
- 泰盧固語
- 泰語
- 土耳其語
- Turkmen
- 烏克蘭語
- 烏爾都語
- Uyghur
- 烏茲別克語
- 越南語
- 約魯巴語
劇集
-
Injili ya Mathayo
INJILI YA MATHAYO ilikuwa Injili maarufu zaidi katika karne za mapema za Kikristo. Imeandikwa kwa jamii ya Kikristo ilipoanza kujitenga na ulimwengu w... more
Injili ya Mathayo
INJILI YA MATHAYO ilikuwa Injili maarufu zaidi katika karne za mapema za Kikristo. Imeandikwa kwa jamii ya Kikristo ilipoanza kujitenga na ulimwengu wa Kiyahudi, Injili ya Mathayo inaandika kwa urefu mkubwa kuonyesha kwamba, Yesu kama Masihi, ndiye utimilifu wa unabii wa Agano la Kale unamtaja Mwokozi wa Mungu.Picha na Mradi wa Lumo.
-
Injili ya Marko
INJILI YA MARKO huleta simulizi ya asili ya Yesu kwenye skirini ikitumia maandishi ya Injili ikichapisha neno kwa neno. Imechukuliwa Picha na Mradi w... more
Injili ya Marko
INJILI YA MARKO huleta simulizi ya asili ya Yesu kwenye skirini ikitumia maandishi ya Injili ikichapisha neno kwa neno. Imechukuliwa Picha na Mradi wa Lumo.
-
Injili ya Luka
INJILI YA LUKA, kuliko nyingine yoyote, inalingana na kundi la historia ya watu wa zamani. Luka, kama "msimuliaji" wa matukio, anamwona Yesu kama "Mwo... more
Injili ya Luka
INJILI YA LUKA, kuliko nyingine yoyote, inalingana na kundi la historia ya watu wa zamani. Luka, kama "msimuliaji" wa matukio, anamwona Yesu kama "Mwokozi" wa watu wote, siku zote akiwa upande wa wahitaji na wanyonge. Uzalishaji huu wa kuvutia - umetilia vidokezo haswa vilivyotengenezwa maeneo halisi ya vijiji vya Moroko - umesifiwa sana na wasomi wakuu wa dini kama simulizi ya kipekee na halisi inayoelezea habari za Yesu. Picha na Mradi wa Lumo.
-
Injili ya Yohana
INJILI YA YOHANA ni toleo la kwanza kabisa kupigwa picha ya maandishi ya Biblia kama ilivyoandikwa hasa ikitumia simulizi ya asili ya Yesu kama mwongo... more
Injili ya Yohana
INJILI YA YOHANA ni toleo la kwanza kabisa kupigwa picha ya maandishi ya Biblia kama ilivyoandikwa hasa ikitumia simulizi ya asili ya Yesu kama mwongozo wake - neno kwa neno - filamu hii ya ajabu na kushangaza inatoa mwangaza mpya kwenye moja ya maandishi matakatifu zaidi ya historia. Imetengenezwa vizuri, iliyoigizwa vizuri sana, na kuelezea na utafiti wa karibuni wa kitheolojia, kihistoria, na akiolojia, filamu hii ni kitu cha kufaa kufurahiwa na kuthaminiwa. Picha na Mradi wa Lumo.